Wednesday, 28 August 2013

picha za Matukio WAKATI WA IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU 1.JUBILEE YA MIAKA 75 UBATIZO NA KIPAIMARA SAWA UMRI WA MIAKA 95 MZEE SIFAELI UK. KILEO SOI na 2.MJUKUU Wake CLEOPA E. SOI- KUANDIKA KITABU KIPYA NA DVD VIDEO KANISANI- LOLE MWIKA TAREHE 14.08.2013

                 KANISA LA LOLE-MWIKA WALIPOENDA  KUMSHUKURU MUNGU
              1.KUANDIKA NA KUTOA CD VIDEO YA KITABU KIPYA CHA NGUVU         
                                      ILIYOSITIRIKA KATIKA MATOLEO-SADAKA.
              2.BABU YAKE KUAZIMISHA MIAKA 95 YA KUISHI TANGIA AZALIWE 1918
                                                                      TAREHE14.8.2013
                                                  MZEE SIFAELI NA WAZEE WENZAKE
                                             WAKIINGIA KANISANI ILI KUMSHUKURU
                                           MUNGU KWA MIAKA 75 YA UBATIZO NA KIPAIMARA
                                                            WALIPOBATIZWA 14.08. 1938
                                        CLEOPA,MAMA,BABA,MWENZI WAKE  WAKIWA
                                     NJE YA KANISANI  KABLA YA IBADA YA SHUKRANI
                                       WAKIWA NA BIBI YAO BI ERICH MAANGA
                                              KABLA YA IBADA YA MSHUKURANI

                                MAMA MZAA CHEMA AKIWA NA MAPACHA WAKE 
CLEOPA NA MWENZAKE 
                             KABLA YA IBADA YA SHUKRANI LOLE-MWIKA YA KITABU,
                   CD VIDEO NA BABU YAO KUTIMIZA MIAKA 95  TARE.14.8.2013
  JUU. DACTARI MAUA KATIKATI ALIYESAFIRI TOKA MBEYA
 KUUNGANA NA FAMILIA KUMSHUKURU MUNGU
CLEOPA NA BABU YAKE SIFAELIUKIWA KILEO SOI 
KABLA YA IBADA YA SHUKRANI LOLE
 MHE. BABA ASKOFU DR. MARTIN F. SHAO 
AKIWA NA WATUMISHI KATIKA IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU 
JUBILEE YA MZEE SIFAELI SOI NA WENZAKE, 
CLEOPA E  SOI KUANDIKA KITABU KANISANI  LOLE-MWIKA
 TARE.14.08.2013
                          MZEE SIFAELI AKIWA NA WAZEE WENZAKE  MADHABAHUNI
                             KWA AJILI YA MAOMBEZI YA KUTAKIWA BARAKA
                                YA KUTIMIZA MIAKA 75 YA KIPAIMARA NA UBATIZO
                                  SAWA NA MIKA 95 YA KUZALIWA TAREHE.14.08.2013
                               CLEOPA NA VICTORIA WAKE WAKIWA MADHABAHUNI
           KWA AJILI YA MAOMBI NA BARAKA KWA UANDISHI NA CD VIDEO
              TENDO HILO LIKIONGOZWA NA MHE. BABA ASKOFU DR. MARTIN F. SHAO
                                                         KANISANI  LOLE MWIKA
KITABU KIPYA CHA SIRI YA MATOLEO
CD VIDEO MPYA  YA NGUVU ILIYOSITIRIKA
KWENYE MATOLEO
                                     WAUMINI WAKIWEMO NDUGU WALIOHUDHURIA
                                                IBADA YA SHUKRANI LOLE-MWIKA
 
 MARA BAADA YA KUTOKA KWENYE IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU 
        KWA JUBILEE
 NA KITABU KIPYA NA CD VIDEO- MWIKA LOLE
MHE BABA ASKOFU DR. MARTIN SHAO AKIWAPONGEZA WASHIRIKI MARA BAADA YA IBADA
BAATHI YA NDUGU   WALIOFIKA KUSHUHUDIA



                                                              cleopa, mama na pacha Francis

MAMA MZAA CHEMA NA MWENZI WA CLEOPA E. SOI NJE YA KANISA KABLA YA IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU KWA KITABU, CD VIDEO NA MIAKA 95 YA MZEE SIFAELI SOI 14.08.2013 MWIKA-LOLE
MKE WA MTUMISHI, BIBI YAO MAANGA, CLEOPA NA MAMA YAO WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA KWA KUWASILI KWA BIBI KABLA YA IBADA YA SHUKRANI LOLE KUANZA NJE YA KANISA

PICHA

CLEOPA,MAMA,BABA NA MWENZI WAKE WAKIWA NJE YA KANISA KABLA IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU LOLE MWIKA

Tuesday, 27 August 2013

PICHA

KANISA LA LOLE TARE.14.8.2013, CLEOPA MWENZI WAKE WALIPOENDA KUMSHUKURU MUNGU KWA KUWAWEZESHA KUANDIKA KITABU CHA NGUVU YA SADAKA-MATOLEO PAMOJA NA BABU YAKE MZEE SIFAELI KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTIMIZA MIAKA 95 YA KUISHI AKIADHIMISHA MIAKA 75 TANGU ABATIZWE TARE.14.08.1938 MWISHO WA VITA YA KWANZA YA DUNIA KANISA LA USHARIKA WA MWIKA WAKIWA WAKRISTO WA KWANZA
BABU MTUMISHI MZEE SIFAELI UKIWA KILEO SOI AKIWA NA CLEOPA SOI MJUKUU WAKE NJE YA KANISA LA LOLE MWIKA KABLA YA IBADA YA SHUKRANI ZAO KWA MUNGU

Friday, 9 August 2013

MUONEKANO WA DVD  YA KWANZA JIPATIE SIKILIZA NA TAZAMA JIFUNZE NA UCHUKUE HATUA,
  "MKIYAJUA HAYO, HERI NINYI MKIYATENDA"
                  YOHANA.13:17

jipatie kitabu hiki na dvd cd video kwa kuwasiliana nasi kwa Simu au Barua pepe
                                    NIKIWA KUSANYIKO LA MSASANI-DAR


WAKATI WA SEMINA YA NGUVU YA SADAKA MWIKA LOLE KWA AJILI YA KANISA