Wednesday, 28 August 2013

picha za Matukio WAKATI WA IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU 1.JUBILEE YA MIAKA 75 UBATIZO NA KIPAIMARA SAWA UMRI WA MIAKA 95 MZEE SIFAELI UK. KILEO SOI na 2.MJUKUU Wake CLEOPA E. SOI- KUANDIKA KITABU KIPYA NA DVD VIDEO KANISANI- LOLE MWIKA TAREHE 14.08.2013

                 KANISA LA LOLE-MWIKA WALIPOENDA  KUMSHUKURU MUNGU
              1.KUANDIKA NA KUTOA CD VIDEO YA KITABU KIPYA CHA NGUVU         
                                      ILIYOSITIRIKA KATIKA MATOLEO-SADAKA.
              2.BABU YAKE KUAZIMISHA MIAKA 95 YA KUISHI TANGIA AZALIWE 1918
                                                                      TAREHE14.8.2013
                                                  MZEE SIFAELI NA WAZEE WENZAKE
                                             WAKIINGIA KANISANI ILI KUMSHUKURU
                                           MUNGU KWA MIAKA 75 YA UBATIZO NA KIPAIMARA
                                                            WALIPOBATIZWA 14.08. 1938
                                        CLEOPA,MAMA,BABA,MWENZI WAKE  WAKIWA
                                     NJE YA KANISANI  KABLA YA IBADA YA SHUKRANI
                                       WAKIWA NA BIBI YAO BI ERICH MAANGA
                                              KABLA YA IBADA YA MSHUKURANI

                                MAMA MZAA CHEMA AKIWA NA MAPACHA WAKE 
CLEOPA NA MWENZAKE 
                             KABLA YA IBADA YA SHUKRANI LOLE-MWIKA YA KITABU,
                   CD VIDEO NA BABU YAO KUTIMIZA MIAKA 95  TARE.14.8.2013
  JUU. DACTARI MAUA KATIKATI ALIYESAFIRI TOKA MBEYA
 KUUNGANA NA FAMILIA KUMSHUKURU MUNGU
CLEOPA NA BABU YAKE SIFAELIUKIWA KILEO SOI 
KABLA YA IBADA YA SHUKRANI LOLE
 MHE. BABA ASKOFU DR. MARTIN F. SHAO 
AKIWA NA WATUMISHI KATIKA IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU 
JUBILEE YA MZEE SIFAELI SOI NA WENZAKE, 
CLEOPA E  SOI KUANDIKA KITABU KANISANI  LOLE-MWIKA
 TARE.14.08.2013
                          MZEE SIFAELI AKIWA NA WAZEE WENZAKE  MADHABAHUNI
                             KWA AJILI YA MAOMBEZI YA KUTAKIWA BARAKA
                                YA KUTIMIZA MIAKA 75 YA KIPAIMARA NA UBATIZO
                                  SAWA NA MIKA 95 YA KUZALIWA TAREHE.14.08.2013
                               CLEOPA NA VICTORIA WAKE WAKIWA MADHABAHUNI
           KWA AJILI YA MAOMBI NA BARAKA KWA UANDISHI NA CD VIDEO
              TENDO HILO LIKIONGOZWA NA MHE. BABA ASKOFU DR. MARTIN F. SHAO
                                                         KANISANI  LOLE MWIKA
KITABU KIPYA CHA SIRI YA MATOLEO
CD VIDEO MPYA  YA NGUVU ILIYOSITIRIKA
KWENYE MATOLEO
                                     WAUMINI WAKIWEMO NDUGU WALIOHUDHURIA
                                                IBADA YA SHUKRANI LOLE-MWIKA
 
 MARA BAADA YA KUTOKA KWENYE IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU 
        KWA JUBILEE
 NA KITABU KIPYA NA CD VIDEO- MWIKA LOLE
MHE BABA ASKOFU DR. MARTIN SHAO AKIWAPONGEZA WASHIRIKI MARA BAADA YA IBADA
BAATHI YA NDUGU   WALIOFIKA KUSHUHUDIA



No comments:

Post a Comment