Tuesday, 27 August 2013

PICHA

KANISA LA LOLE TARE.14.8.2013, CLEOPA MWENZI WAKE WALIPOENDA KUMSHUKURU MUNGU KWA KUWAWEZESHA KUANDIKA KITABU CHA NGUVU YA SADAKA-MATOLEO PAMOJA NA BABU YAKE MZEE SIFAELI KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTIMIZA MIAKA 95 YA KUISHI AKIADHIMISHA MIAKA 75 TANGU ABATIZWE TARE.14.08.1938 MWISHO WA VITA YA KWANZA YA DUNIA KANISA LA USHARIKA WA MWIKA WAKIWA WAKRISTO WA KWANZA
BABU MTUMISHI MZEE SIFAELI UKIWA KILEO SOI AKIWA NA CLEOPA SOI MJUKUU WAKE NJE YA KANISA LA LOLE MWIKA KABLA YA IBADA YA SHUKRANI ZAO KWA MUNGU

No comments:

Post a Comment