1. Kujifunza Kufanikiwa
katika mambo yote kwa njia ya Neno la
Mungu.
2. Kumdhihirisha
Mungu katika changamoto za Maisha
azitatue na aachilie,
“Mambo ambayo jicho halikuyaona wala Sikio halikuyasikia,(Wala
hayakuingia katika Moyo wa mwanadamu) Mambo ambayo Mungu aliwaandalia
wampendao” (1Wakorintho2:9).
3. Mungu ajifunue kwa
watu aseme nao waziwazi wasikie sauti yake tule mema ya nchi
4. Kuwa watendaji wa
Neno.
5. Kuachilia Upendo wa
Mungu kwa watu wamfahamu na wampokee awe BWANA na Mwokozi wao.
6.Kuhuhisha Roho ya Maombi itawale mfumo wa maisha wa
watu wote.
7.Kumtangaza sana Mungu kuliko shetani kwa kila Jambo
No comments:
Post a Comment