Hii ni namna nyingine ambayo nimeiandaa kwa ajili yenu ili muweze kuutambua upendo wa Kristo kwetu na namna gani; daima anatupigania dhidi ya nguvu za adui mwovu shetani na milki yake.
Katika ukurasa huu nitakuwa naweka mambo mbalimbali ambayo kwa ajili ya kuwashirikisha ninyi nyote kwa upana zaidi ili wote mpate kufikiwa na neno wa Mungu.
Balozi wa Yesu Tanzania; Bw. Cleopa E. Soi